TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Davido Amepewa Shavu Na Msanii Mkubwa Toka Marekani.Collabo Inakuja Soon

Msanii Davido amefanikiwa kupata shavu kwa msanii mkubwa toka marekani Jay Sean aliyetamba na kufanyaga powa na ngoma yake ambayo ni Down akiwa na Lil Wayne.
Ngoma wanayokuja nayo imepewa jina la What You Want na Jay Sean ameconfirm taarifa hizo kupitia account yake ya Tweeter,
Baadhi ya vipande vya Behind the scene vya video hiyo tayari nimekwishavinyaka so unaweza ukavitazama hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon