TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kanye West & Jay-Z Kuna Uwezekano Wakamaliza Tofauti Zao Soon

Baada ya Rapper Jay-Z kufunguka katika Interview kwamba kuna uwezekano wa kwake na Kanye West kumaliza tofauti zao,Right now upande wa Kanye West umefunguka na kutoa update iliyopo kwa upande wake.

Kwa mujibu wa TMZ wameripoti kwamba,chanzo cha karibu katika familia ya Kanye West amefunguka kwamba,Kanye West ameongea na Jay-Z kuhusiana kukutana Face to Face ili kumaliza tofauti zao walizokuwa nazo hapo awali ambapo zilithibitika wakati Kanye West alipokuwa on the stage na kuwaongea Beyonce,Jay pamoja na mwanaye Blue Ivy 


EmoticonEmoticon