TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kid Ink Afunguka Wasanii 3 Ambao Ameshaingia Nao Studio Kufanya Album (VIDEO)

Tukiwa tunasubiria ujio wa Album ya nne ya Kid Ink ambayo itadondoka kabla ya mwaka huu kuisha,Right now kuna Headlines unapaswa uzijue kuhusiana na Album ilipofikia.

Kupitia mahojiano na XXL amefunguka na kuwataja wasanii 3 ambao ameshaingia nao studio kwaajili ya kuifanyia kazi album yake hiyo,

Kid Ink anasema,"Katika album yangu mpya inayokuja nimefanya kazi na ma producer wengi,waandishi wengi na wasanii wengi pia ambao wana ladha ya muziki wa tofauti kama vile R&B,Hip Hop na Pop na wasanii ambao nina vibe nao na nimeshaingia nao studio ni Ty Dolla $ign,Hitmaka pamoja na Jeremih

TAZAMA AKIFUNGUKA


EmoticonEmoticon