TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wiz Khalifa Aonyesha Picha Yake Baada Ya Kuwa Gym Kwa Muda Wa Miezi Kadhaa (PICHA & VIDEO)

Rapper Wiz Khalifa amekuwa katika hali ya chini kwenye Industry ya muziki kwa mwaka huu na sababu kubwa ikiwa ni katika kutengeneza mwili wake kwa mazoezi ya kwenda Gym kwa muda wa miezi kadhaa.

Kupitia mtandao wake wa Instagram,Wiz ameonyesha matokeo ya mazoezi aliyokuwa akiyafanya kwa muda wote huo siku ya Birthday yake ambayo ilikuwa September 8.

Wiz amepost picha katika mtandao wake huo na cpatio inayosema,"Having two sets of trainers has pushed my mind and body to places I never thought it could go. Thank you to my @unbreakableperformance team for helping me find a new passion. Im not posting this to show off my body. I’m postin it to show that I’m workin on myself and you should too. #happybirthdaytome"

TAZAMA VIDEO HAPA 

Video ya ngoma ya mwisho toka kwa Wiz Khalifa ambayo ni ujio wa Album yake mpya inaitwa Something New yupo na Ty Dolla $ign.Itazame video hapo chini.


EmoticonEmoticon