Cardi B akiwa katika kusheherekea na kufurahia mauzo ya ngoma yake ya Bodak Yellow ambayo inafanya powa katika chart za Billboard hot 100 kwa kukamata nafasi ya 3,Right now kuna update kuhusiana na kufunguka kusheherekea mafanikio ya ngoma hiyo.
Via TMZ aliweza kuulizwa swali kuhusiana na ngoma yake kufanya vizuri katika chart za Hip Hop na anasherekeaje,Alijibu kwa kusema,“By fucking my man.”
Kumekuwa na Tetesi kwamba OffSet toka kundi la Migos ndyo anammiliki mtoto huyo,bt pamoja na kuonekana katika viwanja mbalimbali kama BET Awards na sehemu nyinginezo,wawili hao hawajaconfirm taarifa kama wanatoka pamoja.@iamcardib celebrates the Success of “Bodak Yellow” by Having Sex pic.twitter.com/qYq0riEXTp— Mulla Star (@mullastar255) September 10, 2017
EmoticonEmoticon