Msanii Diamond Platnumz ametumia mtandao wake wa Instagram kum-wish mwanadada Wema Sepetu Happy Birthday siku yake ya kuzaliwa ambayo ni September 28 na kuweka picha ya wema pamoja na Idriss Sultani na kuandika,"Happy birthday Madam....🎂"
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon