TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Cardi B Afunguka Maswali 5 Muhimu Ya Kuyajua Kupitia Breakfast Club

Female Rapper Cardi B anayefanya powa na ngoma yake ya Bodack Yellow pamoja na ku leads zile Nominees za BET Hip Hop Awards 2017,Amefunguka mengi kuhusiana na game ya muziki alipokuwa katika mahojiano.

Kupitia The Breakfast Club ya Power 105 amefunguka kuhusiana na Kukutana na Beyonce na Jay-Z,Collaboration yake na Remy Ma,Kuhusiana na kuingia namba 1 Billboard,Mahusiano yake na OffSet.

Mullastar imekuletea maswali 5 muhimu ya kuyajua aliyoulizwa ikiwa ni pamoja na hayo.

1:Kuhusiana na Collabo yake na Remy Ma ni kweli?
"Bado haijakamilika na mara ya mwisho kuongea na yeye,nilimwonyesha beat na yeye akanionyesha beat.Wakati huu mimi natazama album yangu na kuna watu wengi sana wanakuja na watakuwepo ndani ya hii album"

2:Kuhusiana na kukutana na Beyonce na Jay-Z?
"Wanawapa hi na wanaongealea tu kuhusiana na mambo mazuri na nimekutana naye,nimekutana na beyonce y’all! It was real na sio mambo ya Photoshop"

3:Kuhusiana na kufika namba 1 Billboard na kumtoa Tylor Swift katika hiyo nafasi?
"Kidogo nifike hapo,Right?Kidogo nifike hapo bt sijui Tylor ametokea wapi kwenye hiyo record bt amefanya yake."

4:Kama Yupo Kwenye mahusiano na Rapper toka kundi la Migos OffSet?
"Mi ni Gangester na situmiagi maneno kama hayo(Love)"

5:Je Mna mahusiano Na Offset Au No?
It’s beau!

Cardi B hakujibu swali la mwisho kwa usahihi bt inaonekana kama kuna mahusiano kati yao na amemaanisha kuwa wako powa na mahusiano yao yanaendelea fresh.

TAZAMA FULL INTERVIEW HAPO CHINI. 


EmoticonEmoticon