TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Blac Chyna Aamia Katika Rap Na Ameshawachukua Ma Hip Hip Stars Kufanya Nao Collabo Studio

Baada ya story kibao kuja August 8 na kusema kwamba Chyna anataka kuamia katika game ya Rap,Right now kuna Headlines za mwanadada huyo kuchukua baadhi ya wasanii wakali na tayari amekwisha kuingia nao studio baadhi yao.

Kwa mujibu wa TMZ wamesema kwamba Chyna anamtumia producer aliyemuiba toka kwa Tyga,"Mally Mall "na tayari mpaka now ameshawachukua mastaa kama Yo Gotti, Tory Lanez, Jeremih, na Dogo toka kundi la  Rae Sremmurd’s ambae ni Swae Lee kwaajili ya kuandaa Album.

Katika page yake ya Instagram pia kuna picha akiwa amekaa studio,jambo ambalo linamaanisha kuna ukweli wa ujio wake katika muziki.
A post shared by Blac Chyna (@blacchyna) on

Moja kati ya video iliyonyakwa inamuonyesha Chyna akiwa studio huku Swae Lee akionekana kwa mbali.

TAZAMA VIDEO HAPA


EmoticonEmoticon