Hit Maker wa Side To Side,Ariana Grande amefanikiwa kusain Deal na kuwa Balozi wa kampuni kubwa ya Sneakers pamoja na nguo ya Reebok.
Ariana ameweza kushare taarifa hiyo kubwa kwa mashabiki Million 113 katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika,“Confidence, self belief and self expression,” she wrote. “I am proud to partner with @Reebok who has the same ideals and beliefs as me & that I hope to instill in my babes.”
Kupitia Account ya Reebok pia waliweza kuconfirm taarifa hizo katika mtandao wao wa Twitter na kuandika, "Inspirational. Bold. Strong. @ArianaGrande lives & breathes #BeMoreHuman. Welcome to the fam, Ari! #ArianaxReebok
reebok.com/arianagrande "
Katika Deal Hili anaunganika na Male Rappers ambao ni Kendrick Lamar, Future, Rick Ross, na Rae SremmurdInspirational. Bold. Strong. @ArianaGrande lives & breathes #BeMoreHuman. Welcome to the fam, Ari! #ArianaxReebok https://t.co/XbzpGbwvwC pic.twitter.com/BTRbizNPc9— Reebok (@Reebok) September 13, 2017
EmoticonEmoticon