TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dave East Amefunguka Kuhusiana Na Rapper Drake (VIDEO)

Rapper Dave East amefunguka jambo kubwa kuhusiana na Rapper Drake akiwa katika mahojiano na XXL.

Kupitia XXL 360 ameweza kufunguka na kuonglea mahusiano yake na Drake toka kitambo bt kubwa aliloliongelea ni kuhusiana na mzigo mpya(Muziki)ambao amesema kwamba uta Land soon.

East ameconfirm kwamba,We definitely got some music on the way.

TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA


EmoticonEmoticon