Rapper 50 Cent ame make Headlines tena katika mitandao kuhusiana na pesa aliyolipwa na Raisi wa marekeni Donald Trump Dola Laki $500,000 lakini akasema hiyo sio pesa nzuri so akachomoa.
Katika mahojiano na kituo kimoja cha redio Hot 97 kwenye Ebro In The Morning, Fif alifunguka na kusema kuwa,"Kabla ya Trump hajachaguliwa kuwa raisi tulikiwa na issue ya kuhusiana na upigaji wa kura wa Africa na America na akataka kunilipa Dola Laki $500,000 ili niwe naye karibu wakati wa Kampeni yake ya kugombe uraisi and I was like, ‘Nah, that’s not good money.’ That’s not worth it!”
Dola Laki $ 500,000 kwa mtonyo wa Kibongo ni kama Billion 1,122,700,000
EmoticonEmoticon