Baada ya SFOS ku dondoka na kufanya powa katika chart za Billboard,Right Now kama wewe ni shabiki wa Wizkid ni lazma ujue collabo nyingine atakayokwenda kuiachia soon.
Kupitia account yake ya Twitter Wizkid ametoa ujumbe kwamba atadondosha nyimbo akiwa na 2 Baba na amesharekodi ngoma na mwanadada Tiwa Savage toka Nigeria na soon zita Land.
EmoticonEmoticon