TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Afunguka Siri Iliyopo Kwenye Ngoma Yake Na Kanye West

Rapper Tyga amefunguka katika mahojiano na XXL kuhusiana na ukweli uliopo kwenye ngoma yake ya Feel Me ambayo amemshirikisha Kanye West inayopatikana katika Album yake ya BIS ambayo ilitoka kama wiki 1 iliyopita.

Tyga aliifunguka na kusema kuhusiana na hiyo ngoma,ni kwamba,"Tulikuwa na Kanye tunaongea kuhusiana na mambo ya kila siku ya kawaida na Kanye akaanza kutoa lines fulani na akawa anasema nataka tutoe nyimbo inayohusu magari,club,na tulikuwa tu tuanafanya utani."Tyga aliendelea kwa kusema,"Kanye alisema ni kama Fell me,na akaitikia mweyew kwa kusema yeah Fell Me ndyo itakuwa kama Hook,Tulifikia makubaliano na siku iliyofuata ndyo tulikuja na hiyo kazi na kuingia studio na kuanza kuifanya"

Nimekuwekea video hapo chini ina Dk 1 na sekunde 40.Chukua muda kuitazama.Enjoy

TAZAMA VIDEO HAPA


EmoticonEmoticon