TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Future Ubia Na Kampuni Kubwa Ya Sneaker

Rapper Future anayefanya powa na Album zake mbili za mwaka huu ambazo ni Hendrix pamoja na Future,Right now kuna trending katika mtandao wake wa instagram baada ya kuonekana akipost Sneakers .

Baada ya April kutokelezea na Sneakers za Reebok kwenye Coachella na kuonekana kuna collaboration kati yake na campuni hyo na watakwenda ku dondosha mzigo,Right now kuna mzigo Sneaker hizo tayari picha zake zimeshatoka.

Kuhusiana na jina la Sneaker hizo na tarehe kamili ya kuingia sokoni na Price bado haijatangazwa.Keep it locked for updates as more information is announced.





EmoticonEmoticon