TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tory Lanez Afunguka Kuhusiana Na Album Yake Mpaka Now

Tory Lanez na Album ya Saphomore itakuja sooner than You Think

Mc toka Toronto Tory Lanez ametumia mtandao wake wa Twitter siku ya Aug 2 kufunguka kuhusiana na Album yake hiyo mpaka wakati huu imekwishakamilika na kuna mambo tu ya kumalizia madogo

Tory ameandika,"The album is done,Finishing Clearance and Art and it’s yours"
Moja kati ya Latest Song inayofanya powa ambayo amemshirikisha Dave East inaitwa Loud Pack 


EmoticonEmoticon