TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Itazame Full Documentary Ya Jay-Z pamoja Na Kanye West Public Enemies

Documentary ya Public Enemies ya Jay-Z pamoja na Kanye West inayohusu wawili hao walivyoanzisha mahusiano yao katika tasnia ya burudani na wakazidi kuwa pamoja na mpaka Kanye ku produce Blueprint Album,Interviews na mambo mengine mengi.

Chukua muda kuitazama video via Youtube Hapo chini.Enjoy 


EmoticonEmoticon