TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Eminem Ndyo Mwenye Album Bora Iliyofanikiwa Kukaa Katika Chart Kwa Muda Mrefu.

Kwa mujibu wa Detroit Metro Times wameripoti kwamba Album ya Eminem inayojulikana kwa jina la Curtain Call ya mwaka 2005 ndyo album bora iliyokaa kwenye Chart za Billboard kwa muda wa mrefu sana Week 350.

Na sio kwakuwa imekaa kwenye chart kwa muda wote huo bt ni Album bora ya Hip Hop iliyokaa kwa muda mrefu kushinda nyingine,na Album hiyo ya Eminem wakati inatoka mwaka 2005 ilifanikiwa kukamata nafasi ya kwanza katika chart hizo kubwa za Billboard 200

Kati ya ngoma zilizofanya powa na zinazopatikana katika Album hiyo ni kama,The Way I Am, “My Name Is,” “Stan,” and “Lose Yourself,Fack,When I’m Gone, na “Shake That.”



EmoticonEmoticon