TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tekno Ametaja Jina La Album Yake Ijayo

Msanii Tekno anayefanya powa na video yake ya Go,Amefunguka kuhusiana na Album yake ambayo inakuja baada ya kimya cha kutoa mzigo mkubwa kwa muda mrefu.

Kupitia mtandao wa Instagram Tekno ametumia mtandao wa Instagram kutangaza album yake ijayo ambayo inakwenda kwa jina la  ‘Teenage Dreams‘ ambayo ita Land ndani ya mwaka huu.

Tekno ana ngoma kali zinazofanya powa zikiwemo, PanaDianaRara, Yawa, Samantha na latest ngoma inayofanya powa right Now ambayo ni GO

TAZAMA VIDEO HAPA


EmoticonEmoticon