Baada ya Tetesi za muda mrefu kwamba Wizkid na Drake hawapatani,mmoja kum unfollow mwenzake na tetesi kibao,Right now kuna kubwa la kulijua kuhusiana na wawili hao.
Kupitia kituo cha redio cha Beats One kama week 2 zilizopita Wizkid aliweza kumpa Sharout za kutoasha Drake na kuaminisha kuwa ni big fan wake na kusema kwamba anamheshimu rapper huyo.
But kwa upande wa Drake pia kuonyesha kuwa kuna maelewano kati yao,kwenye OVO Festival 17 Drake al perform ngoma yake na Wizkid ambayo ni Come Closer
TAZAMA PERFORMANCE VIDEO HAPO CHINI
#GetToKnow Hakuna ugomvi kati ya Wizkid na Drake, Check Drake akiperform ngoma ya Wizkid 'Come Closer' kwenye tamasha la OVO Festival 17 pic.twitter.com/u0wi52krCz— Hamisi Mandi (@BDozen) August 7, 2017
EmoticonEmoticon