TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj & Wizkid Something On The Way.

Baada ya ku chill na Rapper Future, pia ku confirm kuhusiana na Collabo pamoja, na Wizkid kuwa special Guest katika Tour ya Future,Right Now kuna jambo kubwa lipo njiani kati yake na Female Rapper Nicki Minaj.

Taarifa zilizopo ni kwamba Right now Wizkid na Nicki wana collaboration ambayo inategemewa kuja na itakuwepo katika moja kati ya Album ya Wizkid ambayo anaiandaa,Kupitia mitandao yao ya kijamii Instagram wameweka the same picha ambazo zinawaonyesha wamekaa kwenye kochi pamoja.

A post shared by Nicki Minaj (@nickiminaj) on


A post shared by Wizkid (@wizkidayo) on


EmoticonEmoticon