Royalty Brown ambaye ni mtoto kamili wa Chris Brown akiwa bado anao umri mdogo sana yupo zaidi ya tayari kufungua kampuni yake.
Mtoto huyo akiwa katika usaidizi wa mama yake Nia Guzman wanataka ku launch nguo mpya za watoto na vipodozi.
Royalty amefwata nyendo za baba yake kwani kwa upande wa Chris Brown naye anayo Brand yake ya nguo ya Black Pyramid
Right Now mizigo mipya ya Royalty unaweza kuipata kupitia RoyaltyBrown.com
EmoticonEmoticon