Doman Harris ameweza kufunguka akiwa anafanyiwa mahojiano na XXL Magazine na kuhususiana na nyimbo yake hiyo na kusema kwamba,"Katika video yangu hiyo nataka kutoka na kuwa connected na watu tofauti,nataka kuwaonyesha watu vitu tofauti na wanavyofiikiri"
Aliendelea kufunguka kuhusiana na project yake ijayo,"Ndyo nimeanza kufanyia kazi project yangu ijayo na hii ilikuwa kama challenge kwangu mwenyewe na kuwapa watu ili wawe connected na mimi kama msanii"Alimaliza kwa kuiambia XXL Mag
Mtoto wa T.I ni mwigizaji pia na ameionekana katika series ya T.I & Tiny na pia right now yupo kwenye harakati za muziki na ameshafanya ngoma nyingine ambayo ilikwenda kwa jina la For You.Chukua time kuitazama video yake mpya ya Wake Up Call Hapo chini.Enjoy
TAZAMA VIDEO HAPA
EmoticonEmoticon