TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Kukamatwa Na Polisi Kwa Kosa Hili Hapa

Rapper Meek Mill August 17 alikamatwa na Polisi baad ya kuonekana katika video kwenye Instagram anaendesha pikipiki akiwa na Crew yake nzima.

Kilichofanya akakamatwa na polisi ni kitendo cha Meek Mill kuendesha Pikipiki na Crew yake bila yeye kuvaa Helmet ambacho ni kinyume cha sheria za sehemu hiyo.

Kipande cha video kilichopatikana kilikuwa kinasikaka polisi akiwa anamwamrisha Meek Mill ashuke ndani ya gari na kumwambia kama alikuwa anaendesha Pikipiki siku ya jana na kuendelea kumwambia "ninayo video yake akiwa anafanya tukio hilo".

Chukua Time kukisikiliza kipande cha video hapo chini.


EmoticonEmoticon