TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Gucci Man Ametangaza Album Ya 2 Tena Ndani Mwaka Huu Na Tarehe Kamili Ya Kutoka.Tazama Tracklist

Rapper Gucci Mane amepanga kudondosha Album nyingine ndani ya mwaka huu baada tu ya mwezi March 25 kudondosha Album yake ya DropTopWop.

Gucci Mane Project yake ijayo itajulikana kwa jina la Mr Davis ambayo ita contain track 17.Pamoja na kutangaza ujio wa project yake hiyo,ameweza ku dondosha ngoma mpya ambayo inapatikana humo ndani akiwa na Migos ambayo ni I Get The Bag

Kama unakumbuka Rapper Future ndyo Rapper na msanii pekee aliyeachia Aliyeachia Project 2 kwa muda wa Week ndani ya mwaka huu na zote kufanya powa katika chart kubwa za Billboard 200 kwa kushika namba 1 ambazo ni Future & HNDRXX

MR Davis Inategemewa ku Land September 15 mwaka Huu.Tazama Trackilist Hapo chini

1. “Work in Progress (Intro)
2. “Back On”
3. “I Get the Bag” (feat. Migos)
4. “Stunting Ain’t Nuthin” (feat. Slim Jxmmi & Young Dolph)
5. “Curve” (feat. The Weeknd)
6. “Enormous” (feat. Ty Dolla $ign)
7. “Members Only”
8. “Money Make Ya Handsome”
9. “Changed” (feat. Big Sean)
10. “We Ride” (feat. Monica)
11. “Lil Story” (feat. ScHoolboy Q)
12. “Tone It Down” (feat. Chris Brown)
13. “Make Love” (feat. Nicki Minaj)
14. “Money Piling”
15. “Jumped Out the Whip” (feat. A$AP Rocky)
16. “Miss My Woe” (feat. Rico Love)
17. “Made It (Outro)”

SIKILIZA NGOMA YAKE NA MIGOS


EmoticonEmoticon