TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Macklemore Atangaza Ujio Wa Album.Jina,Tarehe Kamili Ya Kutoka & Tracklist,Tazama Hapa

Macklemore ameamua kudondosha Album kabla ya mwaka huu kuisha na ametangaza tarehe,jina la album na tracklist tayari zimeshatoka na unaweza ku pre-order kupitia Itune

Kupitia account yake ya Twitter ameweza kutangaza jina la Album hiyo ambayo itaitwa Gemini, tarehe kamili ya kutoka ambayo ni 22 September na kuweka Link ya ku pre-order.

Ameandika,"NEW ALBUM. GEMINI. 9.22.17. DIGITAL PRE-ORDER HERE NOW "

TAZAMA TRACKLIST  HAPO CHINI
1. “Ain’t Gonna Die Tonight” feat. Eric Nally
2. “Glorious” feat. Skylar Grey
3. “Marmalade” feat. Lil Yachty
4. “Willy Wonka” feat. Offset
5. “Intentions” feat. Dan Caplen
6. “Good Old Days” feat. Kesha
7. “Levitate” feat. Otieno Terry
8. “Firebreather” feat. Reignwolf
9. “How to Play the Flute” feat. King Draino
10. “Ten Million”
11. “Over It” feat. Donna Missal
12. “Zara” feat. Abir
13. “Corner Store” feat. Dave B & Travis Thompson
14. “Miracle” feat. Dan Caplen
15. “Church” feat. Xperience
16. “Excavate” feat. Saint Claire


EmoticonEmoticon