Rapper Lil Wayne ametoa update kuhusiana na Album yake ya Carter V ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wake kwa muda mrefu na amefunguka kuwa nguvu ipo mikononi mwake right now.
Kupitia Q93 Lil Wayne alifanyiwa mahojiano na aliweza kufunguka kuhusiana na Carter V na kusema kuwa,"Kiukweli mtakwenda kuipata Carter V na sitaki kuitoa kimakosa,Honestly,nitafanya ninachotaka kwa wakati wowote,Mashabiki wanastahili kuipata na ndyo hivyo itakavyokuwa,ntahakikisha ipo sawa.Ntatoa nitakachotaka kutoa bt Carter V ipo njiani."
Kuhusiana na kukamilika kwa Carter V,Weezy amesema kwamba imekwishakamilika na hataki kutoa kwa mashabiki in Wrong way na right now anafanya mambo yake mengine na mzigo utadondoka karibuni
EmoticonEmoticon