Rapper Eminem Kimya chake cha muda mrefu kimekuwa na kishindo baada ya taarifa kuja kuwa kuna jambo muhimu anataka kulileta kwa mashabiki ikiwa ni collaboration yake pamoja na Pink
Kupitia iHeartMedia kwenye kipindi cha Mojo In The Morning wametoa taarifa za kuhusu collaboration kati ya wawili hao na imesemekana jina la ngoma hiyo ni Unbelievable na mzigo uta land Very soon.
Mmoja kati ya Ma Host hao 3 alisema“He says that there is a new Eminem, Pink song coming out, that he said is unbelievable,He said he got a chance to be one of the first to hear it and it’ll be coming out here very soon.”
EmoticonEmoticon