TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Afunguka Kuhusiana Na Chart Za Billboard Hot 100 (VIDEO)

Baada yak u run 430 Weeks kwenye Billboard chart Hot 100,Right now Rapper Drake amefunguka kuhusiana na kukaa zaidi kwenye chart hizo za Billboard Hot 100

Reporter wa Tmz alimuuza Rapper Drake swali kuhusiana na anajiskiaje kukaa wiki 430 katika chart hizo za Billboard Hot 100 kwa muda wote huo?Drake alimjibu na kusema kwamba, “I need 500,”

Right Now Drake anaanda Album yake ambayo aliwaahidi mashabiki katika shoo huko Toronto na Alisha tease project yake wanayoiandaa na The Weeknd


EmoticonEmoticon