Rapper Kendrick Lamar anaendelea kufanya powa na Album yake ya Damn na Right Now amerudi kuikamata nafasi ya kwanza katika chart hizo kubwa za muziki Duniani.
Kupitia Billboard mauzo ya week iliyopita ya album ya Damn ilikuwa copy 47,000 ambazo zilimwezesha yeye kurudi katika nafasi hiyo kwani hakuna album yoyote iliyouza mauzo hayo kwa week hiyo hapo.
Tazama full Top 10 list ya Mabadiliko na mauzo katika chart za Billboard ambayo yatawekwa katika chart hizo soon
1. Kendrick Lamar – DAMN. – 47,000
2. Brett Eldredge – Brett Eldredge – 45,000
3. DJ Khaled – Grateful – 31,000
4. Meek Mill – Wins & Losses – 31,000
5. Various – Now 63 – 31,000
6. 21 Savage – Issa Album – 29,000
7. Ed Sheeran – ÷ – 20,000
8. Imagine Dragons – Evolve – 28,000
9. SZA – Ctrl – 27,000
10. Khalid – American Teen – 27,000
2. Brett Eldredge – Brett Eldredge – 45,000
3. DJ Khaled – Grateful – 31,000
4. Meek Mill – Wins & Losses – 31,000
5. Various – Now 63 – 31,000
6. 21 Savage – Issa Album – 29,000
7. Ed Sheeran – ÷ – 20,000
8. Imagine Dragons – Evolve – 28,000
9. SZA – Ctrl – 27,000
10. Khalid – American Teen – 27,000
EmoticonEmoticon