TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Zifahamu Ngoma 2 Na Msanii 1 Aliyeshinda Kwenye Choice Awards 2017

Teen Choice Awards ni tuzo ambazo zinahusika na music, film, television, sports, fashion, comedy, na vitu vinavyoendelea mtandaoni na wapigaji kura katika hizi tuzo ni watoto/vijana wadogo wenye umri kuanzia miaka 13 mpaka 19 kupitia mitandao ya kijamii.

Tuzo hizi za vijana wadogo zilifanyika siku ya jumapili (Aug13) na Dj Khaled,Chance The Rapper pamoja na Major Lazer ni moja kati ya watu waliopata Tuzo kutokana na kuvutiwa na watoto kwa wale wanayoyafanya katika game ya music.

Category 3 Walizoshinda na wapinzani wao ndyo hizi hapa;

Choice R&B/Hip-Hop Song (#ChoiceRBHipHopSong)
“Glorious” – Macklemore Feat. Skylar Grey
I’m The One” – DJ Khaled Feat. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper & Lil Wayne – WINNER
“Location” – Khalid
“Passionfruit” – Drake
“Redbone” – Childish Gambino
“That’s What I like” – Bruno Mars

Choice Breakout Artist (#ChoiceBreakoutArtist)
Chance the Rapper – WINNER
Dua Lipa
Halsey
James Arthur
Julia Michaels
Zara Larsson

Choice Electronic/Dance Song (#ChoiceElectronicDanceSong)
“2U” – David Guetta Feat. Justin Bieber
“It Ain’t Me” – Kygo & Selena Gomez
“Just Hold On” – Steve Aoki & Louis Tomlinson
Know No Better” – Major Lazer Feat. Travis Scott, Camila Cabello & Quavo – WINNER
“Rockabye” – Clean Bandit Feat. Sean Paul & Anne-Marie
“Something Just Like This” – The Chainsmokers & Coldplay


EmoticonEmoticon