TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Davido Awapa Mashabiki Kiasi Hiki Cha Pesa Baada Ya.......


Msanii Toka Nigeria Davido ameripotiwa kuwapa mashabiki zake kiasi cha Dola $1000 ambao walimfanya ajisikie raha walipokuwa wakiimba nyimbo yake katika maeneo ya nyumbani kwake huko Lagos.

Kiasi hicho cha pesa kwa mtonyo wa kibongo ni kama Million 2 na Laki 2.Nimekuwekea video hapo chini unaweza kutazama na kuni follow kupitia Twitter 

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv