TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Maswali 4 Muhimu Aliyofunguka Jay-Z kuhusiana na Kanye West,Future,Money Phone & Apple(VIDEO)

Via TIDAL’s Rap Radar podcast Rapper Jay-Z amefunguka mambo mengi kuhusiana na Beyonce,Solange Kanye West,Rapper Future,Tidal,Money Phone,Apple,Billboards na mengine mengi.

Kupitia Mullastar nimekuletea maswali 4 muhimu ya kuyajua aliyoyajibu katika mahojiano hayo ambayo ni kuhusiana na Beef yake na Kanye West,Diss Ya Futurekwenye ngoma yake na tatizo gani walilonalo,Kauli ya Money Phone na kuhusiana na Apple cs kuna ushindani wa kibiashara kati yao.

1:Kuhusiana na Kanye West katika ngoma ya Kill Jay-Z kuna diss ya mtu mzima Kanye West ndani kwenye mashairi?
Jay-Z:”Hii haihusiani na Kanye West,sio kiukweli,kwani kuna jina lake pale?Kwasababu ni mwaminifu na ni ukweli kilichofanyika pale,lakini nasema point kubwa ni utaumia kwasababu mtu huyu alikuwa anakuongea kwenye stage lakini kinachoumiza zaidi ni hauwezi kuwahusisha mke wangu na watoto katika hili.Kanye is my Little Brother,ameongea kuhusu mimi mara nyingi sana,tuna mambo mengi sana ya kipindi cha nyuma lakini unaihusisha familia yangu juu ya hili na hilo ni tatizo kwangu, Now, it’s a real, real problem.”

Jay-Zaliendelea kusema,”Alijua ni tatizo kwasababu mimi na yeye tumekuwa tukiongea kuhusiana na hilo na tulikuwa tunamaliza mambo yetu bt anajua kwamba amevuka mipaka.Hauwezi kumdiss mtu kwa kumwambia najua umeumia, That’s the softest diss of all time,….That’s the softest shit of all time.”

Kuhusiana na Kauli ya Kanye kwenye Stage kumsema Beyonce na kusema kwamba watoto wao hawakucheza pamoja?
Jay-Z;”Usiongelee mtoto wa mtu yeyote kwenye stage,It’s too much energy,watoto wetu tayari wapo katika sehemu hii ambayo tayari wamesha be affected by our celebrity,Usiende ukafanya kitu ambacho kitamruhusu mtu kututenganisha kila mmoja na kuongea kuhusu motto wangu. Don’t do that.”

Kuhusiana na Kanye West kwenye mtandao wa Tidal cs kanye West pia aliondoa ngoma zake katika Platfom hiyo, Beef Yao kuhusiana na Hilo?
Jay-Z;”Sijali chochote kuhusiana na hilo,Ni maamuzi ya Kanye na yataendelea kuwa maamuzi yake”.

Kuhusiana na maamuzi ya kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki?
Jay-Z;”Inahitaji maongezi muhimu sana na tutakuwa nayo,Tutakuwa nayo hivi karibuni na nina uhakika na hilo

2:Kuhusiana na Rapper Future cs moja kati ya ngoma za Jay-Z inamdiss Future kuhusiana na mtoto wake kuwa karibu na mume wa ciara mpya etc?
Jay-Z; “Sina tatizo naye na sina sababu yoyote ya kumtukana/kumuaibisha,hayo ni mambo ya rap, We’re so sensitive with rap, too.”

3:Kauli ya Jay-Z kwa ma Rapper wanaofanya kitendo cha Phone Money Talk ?
Jay-Z;”Sijawaambia watu kwamba waache kutumia mtindo huo wa Money Phone,sijasema hilo na haijasema popote,Itanibidi nisikilize tena.Kupata pesa na kuzionyesha katika Internet,That can’t be our goal.Hii ni Album yangu ya kwanza nimejaribu kuwapa watu game,Here, learn from my experiences.”

4:Kuhusiana na Apple cs kumeonekana kuna ushindani wa kibiashara kati yao na Exclusive ya 4:44 haikuachiwa kupitia pale bt pia kuna mambo mengine yanasemakana hayapo sawa kati yao?

Jay-Z; “Sina tatizo lolote,Mimi na Jimmy Lovine tuko powa.Mimi na Jimmy tulikuwa hapa Week iliyopita na nlikuwa naongea naye na nikamweleza ukweli na kama alielewa basi ataendelea kuwa rafiki yangu na kama hataelewa ukweli,basi me sitakuwa wake.Hivyo ndyo inavyokwenda,nitaendelea kusema ukweli”.

Kama wewe ni Tidal Subscriber Unaweza kuitazama full Interview hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon