TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Amewataja Wasanii 3 Anaotamani Sana Kufanya Nao Kazi (VIDEO)

Msanii Dj Khaled anayefanya powa na Album yake ya Grateful kwenye chart za Billboard kwa kukamata nafasi ya 3.Right now kuna Headlines ambazo amefunguka kupitia Hot 100 Fest kuhusiana na wasanii anaotamani kufanya nao kazi.

Wasanii 3 anaotamani kufanya nao kazi ni  

DR.DRE

EMINEM

ADELE

TAZAMA AKIFUNGUKA HAPA


EmoticonEmoticon