Msanii Bruno Mars anayefanya vizuri na ngoma yake ya That's What I Like kupitia chart kubwa za Billboard Hot 100 akishikilia nafasi 7,Right now amefunguka kuhusiana na msanii anayemsikiliza kwa wakati huu na anayetamani kufanya naye collaboration.
Kupitia Twitter kwenye maswali ya mashabiki aliulizwa kuhusiana na msanii anayemsikiliza kwa wakati huu na Akajibu kwa kusema ni Card B
Kuhusiana na msanii anayetamani kufanya naye collabo alimtaja Chance The RapperCardi B https://t.co/hLOqjJRjJr— Bruno Mars (@BrunoMars) August 20, 2017
— Bruno Mars (@BrunoMars) August 20, 2017
EmoticonEmoticon