TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Despacito Imetangazwa Kuwa Ngoma Bora Iliyoongoza Kwa Mwaka 2017

Kupitia Billboard wameitangaza ngoma ya Luis Fons na Daddy Yankee waliyomshirikisha Justin Biber Despacito,imekuwa ngoma bora ya mwaka 2017 baada ya kukaa kwenye chart za Hot 100 kwa muda wa Week 12.

Ngoma hiyo imefanya vizuri kwa mauzo mwaka huu huku ikiwa inagongana na ngoma ya Shape Of You ya Ed Sheeran ambayo nayo pia ilikaa kwa week 12 na ilitoka January na kukaa mpaka April katika chart hizo.

Kupitia Billboard ngoma hiyo imekaa katika chart ya mauzo tu kwa muda wa Week 13 na kuna uwezekano wa ngoma hiyo ikaendelea katika week inayofwata kutokana na mauzo hiyo ngoma ilipofikia mpaka wakati huu.

Let's Wait & See


EmoticonEmoticon