TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mauzo Mabaya Ya Album Ya Tyga Kwa Week Ya 1.Wizkid Amshinda Tazama Nafasi Iliyokamata Billboard

Kutokana na Kauli ya Birdman toka Cash Money kusema kwamba walimwondoa Tyga kutokana na mauzo yake kutoridhisha,Right now mauzo ya Album ya Tyga kwa week ya kwanza yameonyesha kutoridhisha.

Album ya Tyga Bitch I'M The Shit 2(BITS) ilitoka July 21 na list ya chart za mauzo katika Billboard ilichelewa bt Aug 3 Chart iliwasilishwa na Tyga ameonekana kukamata nafasi ya 139 huku Sound From The Otherside ya Wizkid toka Africa kwa week 1 ilifanikiwa kushika nafasi ya 107 katika Chart hizo za Billboard 200





EmoticonEmoticon