Kama wewe ni shabiki wa Drake itakubidi uwe na subira mpaka mwakani ili kupata collaboration ya Jordan Brand na Drizzy.
Kwa mujibu wa Soleheatonfeet,wamepanga viatu vya OVO Air Jordan 8s vimepangwa ku Land January 2018.But kipindi cha nyuma kidogo kulikuwa na tetesi kwamba mzigo huo upo tayari na unaweza kudondoka wakati wowote.
Soleheatonfeet, kupitia mtandao wao wa Twitter waliweka price pamoja na muda mzigo huo utapo Land Sokoni bt kwa Upande wa Jordan Brands hawajatangaza tarehe kamili ya ku Land mzigo huo.
— SHOF (@soleheatonfeet) August 2, 2017
EmoticonEmoticon