TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Afunguka Jambo Ambalo Alitamani Sana Kulifanya Tofauti Na Muziki Na Right Now Amepata Nafasi Ya Kulifanya(VIDEO)

Rapper Tyga akiwa amesongesha mwaka na Album yake ya (BIS2), Right Now via XXL Magazine ameweza kufunguka jambo ambalo alilitamani sana kwa muda mrefu kulifanya tofauti na muziki bt right now amepata nafasi ya kulifanya.

Tyga amefunguka na kusema kwamba,"Acting ni kitu ambacho nlikuwa natamani sana kukifanya,na nadhani muda kamili tu ulikuwa bado haujafka kwasababu nlikuwa na focus sana kwenye muziki kuupeleka mahali unapostahili na baada ya hapo nlifikiria nikicheza kitu kingine chochote kitakaa pia katika nafasi inayostahili.Na wakati huu ndyo kinachotokea,Najiskia kama nataka kuchukua hatua nyingine katika kuigiza"

T-Raw pia aliweza kufunguka baadhi ya movie anazozipenda cs anayoifanya pia ina uhusiano:Alifunguka,"Napenda movie za kutisha/Kuogopesha na nadhani ni namba 1 katika category za movie ninazozipenda"Alimaliza Tyga 

Tyga yupo katika Series ya Scream ambayo ni series ya Mtv na mtu mzima Notorious BIG pia atakuwemo ndani na imetangazwa pia itakuwa on air March 2018 ambayo ni season 3

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon