TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jay-Z Ndani Ya Billboard Right Now Na 4:44.Tazama Nafasi Aliyokamata

Kupitia Billboard wameripoti kwamba taarifa za mauzo ya Album ya Jay-Z 4:44 now yamefikishwa Nielsen Music na hatimaye Album hiyo kuanza kukamata namba za Billboard katika chart hizo kubwa za Album 200.

Rapper Jay-Z pamoja na Album yake kufikia mauzo ya Platnum kabla ya Wiki 1 hatimaye Album yake ndyo imetangazwa na Billboard siku ya july 16 kuzama katika Chart hizo kubwa kwa kukamata nafasi ya 1.

BONYEZA HAPA KUJUA SABABU ZA ALBUM YA JAY-Z KUTOINGIA KATIKA CHART ZA BILLBOARD MAPEMA JAPO ILIENDA MAUZO MAKUBWA YA PLATNUM KABLA YA WIKI 

MABADILIKO YA CHART ZA BILLBOARD
BILLBOARD 200 TOP 10

1. JAY-Z – 4:44 – 262,000
2. 21 Savage – Issa Album – 77,000
3. Kendrick Lamar – DAMN. – 54,000
4. DJ Khaled – Grateful – 50,000
5. Ed Sheeran – ÷ – 36,000
6. Imagine Dragons – Evolve – 35,000
7. Him – Something to Tell You – 32,000
8. Calvin Harris – Funk Wav Bounces Vol. 1 – 30,000
9. Various – Moana Soundtrack – 29,000
10. Drake – More Life – 29,000


EmoticonEmoticon