TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Ametangaza Collabo Na Legend Huyu Hapa

Baada ya Mixtape yake kutoka na kufanya vizuri na kutangaza katika kituo cha radio cha Beats One kuwa anatamani kufanya kazi na Legend Mmoja,Right now amepata nafasi ya kufanya collabo na Legend huyo.

Kupitia Beats One radio Wizkid aliweza kufunguka na kusema kwamba amekuwa na ndoto ya kufanya kazi na mtoto wa Bob Marley ambaye ni Damian Marley.Kupitia account yake ya twitter amethibitisha collabo yao.

Wizkid ameandika katika twitter,"Talked about working with this man. Today we dey here! Legend! To the world my friendπŸš€πŸš€

Tazama Tweets Hapo chini


EmoticonEmoticon