TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

TYGA Ajibu Maswali 2 Muhimu Kuhusiana Na Kylie Jenner & Blac Chyna

Album ya Tyga is Out Now,Bitch I'm Shit 2(BIS2) na amefunguka mengi kuhusiana na Album yake na kuhusu maisha yake na pia kuhusiana na maisha ya mahusiano.

T-Raw amefunguka hayo akiwa katika mahojiano na The Breakfast Club na nimekuletea mambo 2 ya kuyajua ya kimahusiano aliyoulizwa kuhusiana na Blac Chyna pamoja na Kylie Jenner  ambao alikuwa na mahusiano nao kipindi ch nyuma.

1:Ilikuwaje mpaka akampoteza Kylie Jenner?
Tyga Alijibu "Hakuna kitu nimepoteza,na kama ukiweka maamuzi sitaki mahusiano na mtu fulani unaweka maamuzi na yanapita hivyo,na nlikuwa na  mpenda bt kwa sasa hivi sipo in love na yeye tena

TAZAMA VIDEO HAPO
2:Kuhusiana na Blac Chyna kwenda kwa Rob Kardashian na sasa hivi anamsumbua?
Tyga amejibu,"Haijawa tatizo kwangu na nilimwonya Rob Kardashian cs Chayna amekuwa akijifanya ni mtu mzuri bt kuna mambo amekuwa akiyaficha na kufanya siri na nligundulia mambo yake kwenye mtandao(Internet)kama Rob alivyogundua".  
Tazama Full Interview Hapa Chini 


EmoticonEmoticon