TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

50 Cent Atangaza Ujio Wa Album Yake Na Amesema Haitakuwa Kama Ya Jay-Z

Baada ya kuisubiri kwa muda mrefu Album/Ujio mpya wa 50 Cent,Right now amefunguka mudwa wa kutoka kwa Album yake ya Street King Immortal kabla ya mwaka huu na amefunguka itakuwa tofauti na ya Jay-Z 4:44.

Kupitia Access Hollywood Live Fif alifanyiwa mahojiano na kuweza kufunguka ujio wake wa Album mpya ijayo na kusema kwamba,"Kuna album ambayo inasubiriwa  niitoe na nitaitoa mwishoni mwa mwaka huu na haitakuwa smart kama ya Jay-Z,nataka kuifanya mtu akisikiliza afurahi na asiache kusikiliza na anauelewa haraka bila kukaa na kuanza kuuchambua.

Aliweza pia kukanusha tuhuma za kuipondea Album ya Jay-Z kama vyombo vingi vilivyoripoti kwa kusema kuwa,"Nilisema kwamba ni nzuri na ndyo maana nlisema is Too Smart"Bt aliweza kufunguka na kusema yeye ni rafiki na shabiki wa Jay-Z 

TAZAMA CLIP FUPI YA VIDEO


EmoticonEmoticon