TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

French Montana Asema Jay-Z Alimuandikia Sms Hii Baada Ya Album Yake Kutoka

French Montana Right Now anafanya vizuri na Album yake ya Jungle Rules na ameweza kufunguka katika kipindi cha Power 105 na kumwambia Angie Martinez kwamba Jay-Z alimwandikia sms baada ya Album yake kutoka.

French Montana alisema Jay-Z alimwandikia sms inayosema,"Famous ni moja kati ya Favourate nyimbo yake kwenye hiyo Album na alitamani sana kama hiyo ngoma ingekuwa ni yake,"
Famous ni ngoma ya 16 inayopatikana katika Album ya French Montana Jungle Rules.Pata nafasi ya kuisikiliza hapo chini.Enjoy 


EmoticonEmoticon