TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Ame Respond Kauli Ya Jay-Z(Money Phone Line) Toka Kwenye 4:44

Kwenye ngoma inayopatikana katika Album ya Jay-Z 4:44 The Story Of OJ,Jay ana Rap,Y’all on the ’Gram holdin’ money to your ear/There’s a disconnect, we don’t call that money over here,”.Kitendo hicho cha Money Phone Talk/Line kimeonekana ku reactiwa na ma Rapper wengi sana.

Baadhi ya marapper walio react kitendo hicho ni akiwemo Future,50 Cent,Boosie Badazz ambaye alisema ataendelea kufanya hivyo na wengine pia bt Time hii amerespond Rapper Drake akiwa katika Night club flani pande za unyamwezini.

Drake alisema huku pesa zikiwa katika mikono yote miwili kwenye kipande kimoja cha video kwamba,"What they say, don’t put those to your ear?,I didn’t hear that.”(Wanasemaje,Tusiweke hizi kwenye masikio?sijasikia hilo)

TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO HAPO CHINI


EmoticonEmoticon