TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beats By Dre Pamoja Na Kampuni Kubwa Ya Fashion Balmain Wameuleta Mzigo Mpya Huu

Kampuni kubwa ya Beats By Dre kwa kuunganika na Kampuni nyingine ya Fashion Balmain imekuletea muunganiko wa biashara yao kupitia Headphones mpya za Beats by Dre and Balmain.

Headphones pamoja na Eye phones hizo anazozitangaza Kylie Jenner right now zimezinduliwa na zina rangi ya Gold na pia unaweza kuzipata kupitia Apple.com pamoja na Bailmain.com katika store zilizopo New York na L.A.
Papers zinazogharimu kuushika mzigo ambpo kwa Beats Studio Wireless headphones  ni Dolla $ $599.95 ambazo kwa kibongo ni kama Sh.Million 1,343,288.05 bt kwa Upande wa Eye phones Powerbeats3 Wireless ni Dola $249.95 ambazo kwa pesa za kibongo ni kama Sh.Laki 559,688.04

TAZAMA PICHA HAPO CHINI










EmoticonEmoticon