TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

21 Savage Afunguka Mambo 2 Muhimu Kuhusiana na Amber Rose

21 Savage anafanya powa mpaka now na Album yake ya Issa ambayo inashika namba 2 katika chart za Billboard 200 na ku trend katika mahusiano yake na Amber rose,Right now kuna mambo ya kuyajua.

Kupitia Power 105 The Breakfast Club iliyokuwa inaongizwa na watangazaji kama Chalamaghne Tha God,Dj Envy pamoja na Angela Yee,21 amefunguka mambo mawili aliyoulizwa kuhusiana na yeye na Amber Rose.

1:Kwanza Aliweza kukiri kuhusiana na kwamba anampenda Amber Rose na kusema kwamba anajua kum treat mwanaume.Alisema,I Love Amber Man,She know how to treat a Nigga man"

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
2:Aliulizwa Kuhusiana na kumpa ujauzito Amber Rose na kwanini Hapendi waschana wadogo
21 Savege alijibu,"Siwezi kumpa ujauzito na hajui ni lini atampa na kuhusiana na young Girls They Don't Really Know How To Treat a Nigga Like Me"

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI


EmoticonEmoticon