TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Atangaza Jambo Hili

Baada ya May 2 kutangaza ujio wa Double Album mwaka huu ambazo ni track 40 kuwa atadondosha kwa mwaka huu,Breezy kwenye headlines tena kwa kutupa update kuhusiana na muzikiwake.

Kupitia Account yake ya Twitter July 19 Breezy alitangaza ujio wa single mpya ambayo itadondoka soon na single hiyo itakuwa moja kati ya ngoma zinazopatikana katika hiyo Double Album.

Breezy Aliandika,Singles will drop soon,Keeping this summer alive! HAVE FUN AND LIVE IT UP!


EmoticonEmoticon