TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Angalia Mzigo Mpya Wa Air Jordan 13 Retro.Time To Switch Now


From Air Jordan Flight Club nimekuletea Sneaker mpya ambayo ime make headline sana kwenye mtandao na watu wametokea kuipenda sana Brand ya Jordan kwa Sneaker za ukweli na wajanja wanatokelezea.

Air Jordan wameiachia hii sneaker mpya inayojulikana kwa jina la Air Jordan 13 Retro "Alternate".Ambayo inapatikana kupitia official page yao kwa Papers kama $200 ambazo kwa Paper za kibongo ni kama Laki 447,400.

So Kama wewe ni mpenz wa ku switch hapa Town kwa mitupio ya aina hiyo!!!.Done Deal.Enjoy Pic Below





EmoticonEmoticon