TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ed Sheeran Ame Delete Account Yake Ya Twitter.Sababu Ndyo Hii Hapa

Baada ya ku appear kama mgeni katika muendelezo wa season ya Game Of Throne na July 5 kukanusha tuhuma za kutoka katika mitandao ya Kijamii kwa kusema yupo active,Right Now kuna headlines.

Mzee wa Shape Of You ameifuta account yake ya Twitter siku ya Jumatatu July 18 bila kutoa taarifa kwa mashabiki juu ya tatizo lililomfanya yeye kuchukua uamuzi huo.Kurasa yake ya Instagram ipo Active ndani ya masaa 24 ameshapost bt taarifa kamili za kuifuta Account yake hiyo haijajulikana mpaka wakati huu.
But kama unakumbuka July 5 akiwa katika mahojiano na The Sun aliweza kufunguka na kusema kwamba yeye hasomi comment katika mitandao yake ya kijamii kutokana na baadhi ya mashabiki kumuudhi kwa comment hizo.


EmoticonEmoticon