TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Atangaza Tarehe Ya Kutoka Album Yake & Wasanii Walioshirikishwa

Rapper Tyga ametoa Tracklist zitakazopatikana katika Album yake ijayo Bitch I’m the Shit 2(BITS2),tarehe kamili ya kutoka na baadhi ya wasanii waliokula collabo katika Album hiyo.

Album ina ngoma 16 na baadhi ya vichwa vitakavyokuwa katika Album hiyo ni Kanye West , Quavo, Vince Staples, Pusha T, Young Thug pamoja na Ty Dolla $ign.

Bitch I’m the Shit 2 (BITS2) mpaka now imekwishakamilika Tarehe kamili ya kutoka ni July 21 Ijumaa na Right now unaweza ku pre-order kupitia Itune na mzigo ukidondoka tu,utapata kwa wakati.
Tyga’s Bitch I’m The Shit 2 Tracklist
1. “ドウカテイ (DUCATI)”
2. “Feel Me” Feat. Kanye West
3. “Teterboro Flow”
4. “Ski On The Slope” Feat. Pusha T
5. “Eyes Closed”
6. “Move To LA” Feat. Ty $
7. “Bel Air” Feat. Quavo
8. “Run It Back” Feat. Young Thug
9. “Playboy” Feat. Vince Staples
10. “Chandeliers”
11. “Flossin'” Feat. King
12. “Cash Splash Nasa”
13. “1 Of 1″
14. “Gone Too Far”
15. “Naan Nigga” Feat. Honey Cocaine
16. “100s” Feat. Chief Keef & AE



EmoticonEmoticon